Beki wa NHC Andrew Rugarabamu akijaribu kumkabili mshambuliaji wa wa DHL kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo (Mei Mosi) . Michezo hiyo ya Bonanza iliyashirikisha mashirika na taasisi mbalimbali nchini. NHC katika mchezo huo ilitoka sare ya mabao 2-2.
Mlinda
Mlango Anafi Mwambe wa timu ya soka ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
akipangua mpira kutoka langoni kwake katika mchezo wa Bonanza wa NHC dhidi ya
DHL kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam leo (Mei Mosi).
Michezo hiyo ya Bonanza iliyashirikisha mashirika na taasisi mbalimbali nchini.
NHC katika mchezo huo ilitoka sare ya mabao 2-2.
No comments:
Post a Comment