Monday, May 06, 2013

BREAKING NEWS: MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA YAMREJESHEA UBUNGE AESHI HILALY JIMBO LA SUMBAWANGA

Photo: Breaking News:Mahakama ya Rufaa Tanzania imemrejeshea ushindi aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini (CCM) Bwana Aeshi Hilaly dhidi ya mpinzani wake Bwana Norbert Namsebo wa CHADEMA baada ya kubaini mapungufu ya kisheria katika maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu ya Sumbawanga.
Breaking News:
Mahakama ya Rufaa Tanzania imemrejeshea ushindi aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini (CCM) Bwana Aeshi Hilaly dhidi ya mpinzani wake Bwana Norbert Namsebo wa CHADEMA baada ya kubaini mapungufu ya kisheria katika maamuzi yaliyotolewa na mahakama kuu ya Sumbawanga.

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...