Friday, May 24, 2013

SEASON YA NANE YA BIG BROTHER KUANZA WEEKEND HII




Yeah pipozz, huyu ndio anayesemwa semwa kuwa muwakilishi wetu wa BBA.
Siku ya tarehe 26 mwezi huu, itaanza kuonyeshwa rasmi msimu mpya wa big brother "the chase" kwa wale wenye dstv usikose kuangalia kupitia channel 198 upate kujua ni nani atakaeiwakilisha Tanzania mwaka huu. Dola laki tatu kushindaniwa.
 
Credits: Zedylicious blog

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...