Marehemu Felician M. Makwaia
Ndugu,
CHRISTOPHER MAKWAIA (MK) Anasikitia kutangaza kifo cha Baba yake mzazi
Mzee Felician M. Makwaia, kilichotokea jana May 30, 2013 huko Bombay
nchini India
alikokuwa amekwenda kwa matibabu baada ya
kupambana kwa muda mrefu na maradhi yaliyokuwa yakimsumbua.
Mipango
ya kusafirisha mwili kuurejeshwa nyumbani kwa mazishi inafanyika. Msiba
upo nyumbani kwa marehemu Sinza Mori,Jijini Dar es Salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki popote pale walipo.
Tutaendelea kuwafahamisha hatua kwa hatua ya kiatakachoendelea katika msiba huu mzito.
Kwa mawasilian0 ya aina yoyote piga simu namba
0659 528446
BWANA ALITOA , NA BWANA AMETWAA
JINA LAKE NA LIHIMIDIWE
AMIN
No comments:
Post a Comment