Wednesday, May 22, 2013

MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA ASHIRIKI KUMBUKUMBU YA AJALI YA MV BUKOBA

Mwanamitindo Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika makaburi ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi ya wananchi waliopoteza maisha yao miaka 17 iliyopita katika ajli ya MV Bukoba.
 
Flaviana akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo.…

Mwanamitindo Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika makaburi ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi ya wananchi waliopoteza maisha yao miaka 17 iliyopita katika ajli ya MV Bukoba.
 
Flaviana akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo.
Flaviana Matata akiwa na Baba yake mzazi katika misa ya kumbukumbu ya ajali ya MV Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma jijini Mwanza.
 
Flaviana akiwa ofisini kwa Projest  Samson Kaija ambaye ni Meneja Mkuu wa Marine Services Company ltd ambao ushirikiana nae katika maombolezo ya ajali hii ambapo kwa mwaka jana aliwapatia msaada wa maboya ya kujiokoa

No comments: