Taarifa
zilizotufikia zinasema muasisi wa hospitali ya moyo ya Tanzania Heart
Institue Dr. Ferdinand Masau amefariki dunia usiku wa kuamkia leo hata
hivyo bado tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi juu ya msiba huo mkubwa
kwa taifa kutokana na umuhimu wa Marehemu Dr. Ferdinand Masau, Tutawaletea taarifa zaidi kadiri tutakavyozipata.
Mungu aiweke mahali pema peponi roho ya marehemu Dr. Ferdinand Masau AMIN
No comments:
Post a Comment