Wednesday, July 10, 2013

WAZIRI WA UJENZI DKT. JOHN MAGUFULI AKAGUA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA JIJINI DAR

Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ambalo umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo ujenzi huo  utagharimu sh.Bilioni 214,kati ya fedha hizo asilimia 60 zimetolewa na Shirika la Hifadhi ya Mfuko wa Jamii (NSSF). Picha hii imepigwa jana wakati Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli hayupo pichani wakati alipofanya ziara ya siku moja  ya kukagua maendeleo  ya ujenzi wa miradi ya Dar es Salaam ikiwemo ya ujenzi wa daraji hili.2-- Magufuli (kush) na  Dr. Julian BujuguWaziri wa Ujenzi Dkt, John Magufuli, (mwenye kofia ya pama) akiongea na  Diwani  wa kata ya Mwenge Dkt. Julian Bujugo(aliemshika begani) wakati ya ziara yake .3-grop pixPicha ya Pamoja kati ya Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli  pamoja na viongozi waliokuwa katika ziara yake.4- ujenzi wa  wa Davis  Corner-Vituka-Jet Corner ukiendelea (1) Muonekano wa ujenzi unaoendelea wa ujenzi wa barabara ya Davis Corner- Vituka – Jet Corner5-ujenzi wa vituo ukiendelea magomeniBaadhi ya ujenzi wa vituo vya mradi wa Mabasi ya mwendo kasi (DART)  barabara ya eneo la Ubungo,Mwembechai , Jangwani na  Kivukoni vikiendelea,6-kituo mwembechaiSehemu ya muonekano wa kituo cha mabasi ya mwendo kasi  eneo la Kigamboni.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...