Rais Mstaafu wa awamu ya Pili, Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza baada ya futari.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM), Dk Asha-Rose Migiro (kushoto) naye alikuwa miongoni mwa waalikwa.
Mtangazaji wa kipindi cha The Mboni Show, Mboni Masimba akizungumza jambo.
MTANGAZAJI
wa kipindi cha Mboni Show kinachorushwa kupitia televisheni ya East Afrika,
Mboni Masimba jana alifuturisha wageni mbalimbali na viongozi akiwepo Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe Ali Hassan
Mwinyi na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM) ambaye pia
alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Matifa, Dk. Asha - Rose Migiro, katika
ukumbi wa Karimjee uliopo Posta jijni Dar es Salaam.
(PICHA:
IMELDA MTEMA, MUSA MATEJA NA IMELDA TARIMO)
No comments:
Post a Comment