Monday, July 29, 2013

LHRC CHATANGAZA KUMPELEKA MAHAKAMANI WAZIRI MKUU PINDA ALHAMIC KWA KAULI ZAKE BUNGENI


PASIANCE MLOWE MTAFITI WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU (LHRC) AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR ES SALAAM



MKURUGENZI UWEZESHAJI NAYE ALIKUWEPO KATIKA MKUTANO HUO

            KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU TANZANIA KIMETANGAZA RASMI KUMPANDISHA MAHAKAMANI SIKU YA ALHAMISI WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH MIZENGO PINDA KUFWATIA KAULI YAKE ALIYOITOA BUNGENI MNAMO MWEZI WA SITA KAULI AMBAYO ILIPINGWA NA WATU WENGI SANA

           AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM MKIRUGENZI WA MABORESHO NA UTAFITI BW HAROLD SUNGUSIA AMESEMA KUA UAMUZI HUO UMEKUJA BAADA YA KUONA JUHUDI ZA KUMTAKA WAZIRI PINDA KUWAOMBA WATANZANIA RADHI KUGONGA MWAMBA KITU AMBACHO AMESEMA KUWA NI KITENDO AMBACHO KIMEASHIRIA KUPANIA.

           BW SUNGUSIA AMESEMA KUWA SIKU YA ALIHAMISI WANAWASILISHA KESI YA KUMSTAKI WAZIRI MKUU KATIKA MAHAKAMA AMBAYO BADO HAWAJAIWEKA WAZI KWA WANAHABARI

          KAMA UTAKUMBUKA WAKATI WA VURUGU ZA ARUSHA NA ZILE ZA MTWARA WAZIRI MKUU AKITOA KAULI KUWA ,hukufanya fujo na umeambiwa usifanye fujo utapigwa tu, na mimi na sema wapigeni maana tumechoka

ARNOLD SUNGUSIA MKURUGENZI WA MABORESHO NA UTAFITI  KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...