Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako baada ya kuwasili kwenye mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 10,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia kwake ) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 10,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia kwake ) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 10,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akivuna nanasi katika shamba la Katibu Mkuu Mstaafu, Philemon Luhanjo (katikati) lililopo katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013. Kulia kwake ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la msingi la kiwanda cha kusindika mananasi katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10, 2013. Kulia ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment