Tuesday, July 16, 2013

Mwonekano wa leo wa nyumba za gharama nafuu NHC Kibada

Nyumba hizo za NHC Kibada, Kigamboni zijulikanazo kwa jina lake la Mradi kama Kigamboni Housing Estate zitakavyoonekana baada ya kumalizika.
 Picha ya mchoro wa kompyuta inayoonyesha namna ambavyo mji au eneo la nyumba za gharama nafuu NHC kibada Kigamboni utakavyoonekana mara baada ya kumalizika hivi karibuni.
 Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam nyumba hizi ziko zaidi ya 200.

 Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam nyumba hizi ziko zaidi ya 200.

 Sehemu ya nyuma ya nyumba hizo za gharama nafuu inavyoonekana kabla ujenzi haujakamilika.

 Sehemu ya nyumba za gharaha nafuu za Kibada zilizojengwa kwa matofali ya kawaida ikiwa ni aina tofauti na ile ya nyumba zilizojengwa kwa matofali yanayotumia udongo na kuchanganywa na sementi kidogo na hivyo kupunguza gharama za ujenzi.
 Mwonekano wa sasa wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam nyumba hizi ziko zaidi ya 200.
Nyumba hii ni mojawappo ya nyumba za gharama nafuu zinazojengwa katika eneo la Kibada ikiwa imeshakamilika inatumika kama model house.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...