Vijana wakiwa kazini kuendelea na ufyatuaji wa matofali eneo la Mvomero Mororgoro , (wa pili kulia mwenye shati la madoa madoa) ni Muungano Kasibi Saguya, Meneja Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Vijana wakiwa kazini kuendelea na ufyatuaji wa matofali eneo la Mvomero Mororgoro ,kwa mbali (kulia) ni Veneranda Seif, Meneja Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Morogoro.
Meneja Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif, akizungumza na timu kutoka makao makuu iliyokuwa ikipita katika miradi kuangalia shughuli za ujenzi pamoja na ufyatuaji matofali zinazofanyika katika miradi mbalimbali ya gharama nafuu
Kwa mbali inaonekana misingi ya nyumba za gharama nafu za NHC Mvomero ambapo kushoto anaonekana Meneja Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Morogoro, Veneranda Seif, akishuhudia mmoja wa vijana wa Veta waliopata mafunzo kutoka Afrika Kusini akifyatua matofali ya Hydroform.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment