Friday, February 20, 2009

vijana wamekwiva si mchezo


Baadhi ya wanajeshi waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi ya Makutupora mkoani Dodoma wakionyesha umahiri wakati wa kufunga mafunzo hayo jana. Jumla ya vijana 1306 wamehitimu mafunzo hayo kati ya 1310.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...