Tuesday, February 17, 2009

Mambo ya twanga




Duhhh mambo ya Valentine hayakuwa ya kawaida mwanangu hebu cheki mambo yalikuwa juu ya mambo na hata wewe mwenyewe ungekuwapo hakika ungenikubalia kweli ilikuwa si mchezo Twanga ungeipenda mwenyewe maanake ni kujimwaya mwaya tuuuu, au wasemaje

No comments:

MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...