Tuesday, August 12, 2008

Watoto shuleni


Maisha ya skuli si mchezo kuna milima na mabonde, kuna miteremko vile vile hebu cheki hivi vijamaa vimejificha sijui vinaogopa nini, bila shaka vimetoroka kabla ya kuruhusiwa na mwalimu

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

labda hawajafanya homework na wanaogopa viboko si unajua tena.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...