Sunday, August 31, 2008

Rais Kikwete White House



Rais Jakaya Kikwete akikaribishwa rasmi na Rais George Bush kwenye ofisi Maalum ya Rais wa Marekani Oval Office alipomtembela Rais Bush jana Washington DC.
Rais Jakaya Kikwete akioneshwa na Rais George Bush wa Marekani mandhari ya ikulu ya Marekani,White House,wakati Rais Kikwete alipomtembelea Rais Bush Ijumaa asubuhi jijini Washington D.C.Rais Kikwete yupo nchini Marekani kwa mwaliko wa Rais Bush.Picha na Freddy Maro/Ikulu

1 comment:

Anonymous said...

kwa nini nyie waandishi wa habari hamtaki kuleta ukweli kwa watu wa nchi yenu. kwa nini hamtaki kutamka mambo kama yalivyo. Je hakuna aibu, oneni aibu kuu, mababu zenu wasinge acha nchi yetu itumike kama hivi.
Huyo Kikwete sio mwema huyo aayefanya kazi pamoja na jambazi hili, limeuwa watu wengi wa nchi yake na wa nchi nyingine.
mashambulizi ya Ubalozi US Dar uliua zaidi watz, na ile ilipangwa hivyo ili majmbazi haya ya dunia yachukue nchi za ulimwengu wote.
Muwe waangalifu jamani, semeni ukweli. kama unapata info hebu elezeni sio kuficha.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...