Monday, August 04, 2008

hafla ya kuzaliwa rasmi zain



Baadhi ya wasanii wa kikundi cha sanaa za maonyesho cha Umoja kutoka Afrika Kusini, wakicheza wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

1 comment:

Anonymous said...

Mbona wanacheza huku matiti nje nje na viguo vifupi, hivi ndo utamaduni wao au kundi lao halihusiani na ngoma za asili? Anaejua anitonye.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...