Meneja wa Kampuni ya Business Connexion Tanzania Limited Ebenezer Massawe akitoa mafunzo juu ya kupata taarifa ya vyanzo vya mapato kwa waandishi wahabari wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania (TAWNET jijini Dar es Salaam. Kwa udhamini wa Vodacom Tanzania.
Afisa Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Hamisi Lupenja,akifafanua jambo kwa waandishi wahabari (hawapo pichani ) wakati wa semina iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania (TAWNET ) jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ilidhamini wa Vodacom Tanzania na Business Connexion Tanzania Limited.Kulia ni Rose Mahendeka ,Afisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Afisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Rose Mahendeka, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na Chama cha waandishi wa habari za kodi Tanzania (TAWNET jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo ilidhamini wa Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment