Tuesday, May 06, 2014

RIDHIWANI KIKWETE NA GODFREY MGIMWA WAAPISHWA


Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo Mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia kwenye Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma, leo Mei 6, 2014
Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma,leo Mei 6, 2014.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Waziri wa Nchi,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dr. Rehema Nchimbi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...