Afisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua
duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia,
wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko Airtel Afrika akiwa na meneja
wa duka Wahida Saleh na Sunil Colaso Mkurugenzi Mkuu Airtel TanzaniaAfisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet akikata utepe kuzindua
duka la Airtel lililopo mlimani city jijini Dar es Saalam.wakishuhidia,
wapili ni Andre Beyers Afisa mkuu wa masoko Airtel Afrika akiwa na meneja
wa duka Wahida Saleh na Adriana Lyamba Mkurugenzi wa kitengo cha huduma kwa
wateja Airtel TanzaaniaAfisa mtendaji Mkuu Airtel Africa Christophe Soulet na Afisa mkuu wa
masoko Airtel Afrika Andre Beyers wakiwa katika picha ya pmaoja na
wafanyakazi wa Airtel katika duka la mlimani City mara baada ya uzinduzi wa
duka hilo baada ya kufanyiwa matengenezo na kuwa la kisasa zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment