Tuesday, May 06, 2014

MSIBA WA BABA YAKE FILIKUNJOMBE LUDEWA NI HUZUNI TUPU

Askari  polisi  wakitoa nyumbani kwa mbunge Filikunjombe mjini Ludewa leo kuungana na  wananchi  kuomboleza
Rafiki mkubwa wa mbunge Filikunjombe Bw Tonny kutoa Marekani kulia akiwa na wanafunzi  wasomi wa  elimu ya  juu katika msiba kutoka  kushoto Basilius Kayombo na Stanley Mkolwe ambao  wanawakilisha umoja wa wana Ludewa wanaosoma vyuo vikuu ambapo Mbunge Filikunjombe ni mlezi  wao
Mbunge Filikunjombe kushoto akiwa na rafiki yake  wakipata msosi
Wananchi  wa Ludewa  wakimiminika nyumbani kwa mbunge Filikunjombe kushiriki maombolezo
Mbunge  Filikunjombe wa pili  kushoto akiwa ameinama chini kwa  huzuni kubwa  baada ya  waombolezaji kufika kumfariji leo kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Ludewa Juma Madaha na katibu tawala wa wilaya  hiyo
 Msemaji  upande wa Familia ya Filikunjombe mwalimu Dominic Haule  akitambulisha msafara
Rafiki mkubwa wa Filikunjombe mbunge wa  jimbo la Mwibara Kang Lugola akisalimia
Bw Tony akisalimia
Wawakilishi wa  wasomi  wa  vyuo vikuu nchini  wakisema machache
Msomi wa  chuo  kikuu akisalimia
Msanii Kety kutoka Bongo Muvi  akisalimia katika msiba  huo
Eneo la kusaini  kitabu  cha maombolezo (picha na mzee wa matukidaima Blog)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...