Wadau na wateja wa DSTV wakijadiliana jambo na Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo wakati wa uzinduzi wa king’amuzi chao kipya aina ya explorer
Wageni waalikwa na wateja wa DSTV wakibadilishana mawazo ndani ya ukumbi wa Southern Sun Hotel jana kwenye uzinduzi wa king’amuzi kipya aina ya Explorer
Edo Kumwembe akiuliza jambo kwa Meneja mahusiano wa DSTV Barouba Kambogi wa nne kutoka kushoto jana kwenye Hotel ya Southern Sun
Wateja na wadau wa DSTV wakiwa wanabadilishana mawazo kuhusu huduma mpya iliyoanzishwa na DSTV ya king’amuzi kipya aina ya Explorer
Wa pili kutoka kushoto ni Meneje wa uendeshaji DSTV Bwana Ronald Shelukindo na Meneja mahusiano Barba Kambogi wakifuatilia maelekezo kutoka kwenye screen kubwa(haipo pichani)kuhusu mapinduzi yaliyofanya toka miaka ya 1950 mpaka leo kwenye teknolojia ya urushaji wa matangazo.
Meneja uendeshaji mwenye shati ya kaki Ronald Shelukindo akifurahia jambo na Meneja uhusiano DSTV Barba Kambogi kwenye uzinduzi wa king’amuzi kipya aina ya explorer
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akifafanua utofauti wa king’amuzi hicho kipya na kile cha zamani jana Kwenye Hotel ya Southern Sun
Meneja uendeshaji Ronald Shelukindo akionyesha jinsi king’amuzi kipya aina ya explorer kinavyoweza kurekodi matukio tofauti na kuweza kuyaangalia baadae
Na DJ SEK BLOG
No comments:
Post a Comment