...Akiwa na Nay wa Mitego baada ya tuzo yao ya Wimbo Bora wa Kushirikisha/Kushirikiana ambao ni Muziki Gani.
Msanii Bora wa Hip hop na Mtunzi Bora wa Mwaka Hip hop, Farid Kibanda 'Fid Q' baada ya kutwaa tuzo zake mbili.
Mwimbaji Bora wa Kike Taarab na Mtumbuizaji Bora wa Kike wa Muziki, Isha Ramadhan 'Mashauzi' akiwa na mojawapo ya tuzo zake.
Man Water kutoka Combnation Sound akiwa na tuzo yake ya Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka, Kizazi Kipya.
Mwanadada Vanessa Mdee akiwa na tuzo yake ya Wimbo Bora wa RnB aliyokabidhiwa na Elizabeth Michael 'Lulu'.
No comments:
Post a Comment