Monday, May 19, 2014

Rais Jakaya Kikwete Alipomfariji Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba Kwa Kufiwa na Mama Marehemu Hedwig Laurent Ojjik

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu alipokwenda kuhani msiba wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,    Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe
 wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba,Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,   Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji wanafamilia bada ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa mama mkwe wa Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Marehemu Hedwig Laurent Ojjik,  Oysterbay jijini Dar es salaam Mei 17, 2014
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama Evelyne Warioba  alipokwenda hunai msiba wa mama yake mzazi  Marehemu Hedwig Laurent Ojjik  Oysterbay jijini Dar es salaam  Mei 17, 2014


No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...