Monday, May 12, 2014

MAJINA YA WANAFUNZIWA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT

Jeshi la Kujenga Taifa

                       

16 comments:

Anonymous said...

mbona kambi nyingine hazina majina ya wanafunzi na mashule je ndivo ilvo.

Anonymous said...

mbona kifungilo haionekani alafu hao wanaoenda december chuo lini??

JOY said...

MBONA HAYAFUNGUKI MAJINA

Anonymous said...

MBONA HAYAFUNGUKI?

Anonymous said...

bora mpange kishule mawenzi isikosekane

Anonymous said...

Majina hayafunguki

Anonymous said...

Majina yenyewe hayaonekani!

Anonymous said...

Majina ndo service unavailable?

Anonymous said...

Jipangeni, mkiwa mnaweka link mbovu ka hizi watu wataacha kusoma blog yenu. Kabla ya kupost habari kama hii, tafuteni hizo list then mzidirect kwenye download source nyingine, if website mama kama ya JKT haijajipanga km hii!!!

Anonymous said...

Blogger's Mmmekuwa na mambo ya Ajabu sana Mnaweka link ambazo hazipatikani Huu ni udanganyifu Ili tu Blog zenu zitembelewe alafu Muache Copy & Paste - Wapuuuzi tu

Anonymous said...

Jamani mbona majina hayaonekan,,,

Anonymous said...

mbona majina hayafunguki?

Anonymous said...

hv ndo nn? this z xtupid! hiyo link inarud ln mana watu hatujui tumepangiwa wap!

Unknown said...

Majina ya JKT tajwa hayafunguki kabisa. Sasa tutapataje utaratibu wa kujiunga hasa lini, wapi, mahitaji na utaratibu wa udahili

Anonymous said...

Jamani blog yenu haina maana kabsa ila na uzushi tu majina hayafunguki

Anonymous said...

shule na majina hayafunguki

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...