Monday, May 12, 2014

MUAKILISHI WA JIMBO LA KWAMTIPURA AHUTUBIA WANACCM JIMBONI KWAKE

DSC_0217Muakilishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma akiwahutubia wanachama wa CCM pamoja na wananchi mbalimbali katika Mkutano wa hadhara kuhusiana na Mchakato wa Bunge la katiba huko katika jimbo la kwamtipura Zanzibar.DSC_0231Wanachama wa CCM wakishangilia na kuonesha ishara ya vidole viwili wakimaanisha Serikali Mbili wakati wa Mkutano uliohutubiwa na Muakilmishi wa Jimbo la Kwamtipura Hamza Hassan Juma huko katika Uwanja wa mpira wa Mkele Zanzibar.DSC_0236Muakilishi wa Kwamtipura Hamza Hassan Juma akisoma baadhi ya Vifungu vilivyo muhimu kutoka katika Rasimu ya katiba alipowahutubia Wananchi na wana CCM wa Jimbo la Kwamtipura Zanzibar.DSC_0246Muakilishi wa Kwamtipura Hamza Hassan Juma akipeana mikono na wananchi na viongozi wa CCM waJimbo la Kwamtipura baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara Mkele Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...