Saturday, May 17, 2014

OFISI ndogo ya Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania leo imetialiana saini na Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China wenye thamani ya dola laki moja za kimarekani

  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akiwakabidhi zawadi baadhi ya wajumbe alokuja nao mgeni wake.
  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) akimkabidhi zawadi mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan (kushoto) mara baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano wenye thamani za fedha za kimarekani dola laki moja leo ofisi ndogo za Bunge zilizopo jijini Dar es Salaam.
 Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan (kushoto) akimkabidhi zawadi Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) mara baada ya utiaji saini mkataba wa makubaliano wenye thamani za fedha za kimarekani dola laki moja ofisi ndogo za Bunge zilizopo jijini Dar es Salaam.
 Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah (kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha kupunguza Matumizi ya Silaha na Maridhiano cha Jamhuri ya Watu wa China (Chinese Peoples’ Association for Peace and Disarmament) Bi. Chen Huaifan wakitia saini mkataba huo wa thamani za fedha za kimarekani dola laki moja  ofisi ndogo za Bunge zilizopo jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania Bw. Thomas Kashililah akitoa maelezo juu ya kazi mbalimbali zifanywazo na Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania wakati wa sherehe fupi ya utiaji saini mkataba wathamani ya dola laki moja za kimarekani kati ya Chama cha Kupunguza matumizi ya silaha na Maridhiano cha China na Ofisi za Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...