Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akizungumza na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) (hawapo pichani) kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi mpya ya Shirika hilo uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha NHC)
Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi ya Shirika hilo uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam jana.Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi ya Shirika hilo uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam jana.
Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka na Wakurugenzi wa NHC kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi ya Shirika uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi mikoba Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Mama Zakhia Hamdani Meghji.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi mikoba Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Mama Zakhia Hamdani Meghji.
Baadhi ya Wakurugenzi wa NHC waliokuwapo katika hafla hiyo fupi
Baadhi ya mameneja wa NHC waliokuwapo kwenye hafla hiyo fupi jana mchana.
Baadhi ya mameneja wa NHC waliokuwapo kwenye hafla hiyo fupi jana mchana.
Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakitafakari mambo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi mkoba Mjumbe mpya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Diotrepes Mmari.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu akimsikiliza Mjumbe mpya wa Bodi ya NHC, Charles Mafuru, ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Nyumba wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Mjumbe mpya wa Bodi ya NHC, Charles Mafuru, ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Nyumba wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwaelekeza jambo watendaji wakuu wa Shirika la Nyumba (NHC) (hawapo pichani) jana katika uzinduzi wa bodi mpya ya wakurugenzi wa NHC.
Wajumbe wa Bodi hiyo mpya ni
1. ZAKHIA MEGHJI -MWENYEKITI
1. CHARLES MAFURU
2. BEDASON SHALLANDA
3. IRENE ISAKA
4. SUBIRA MCHUMO
5. PATRICK RUTABANZIBWA
6. DIOTREPHES MMARI
7. SAMSONI KASSALA
Mwenyekiti Mama Zakhia Meghji aliteuliwa rasmi na Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Wajumbe kuteuliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka na uteuzi wao kuanza mara moja Aprili Mosi.
No comments:
Post a Comment