Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe akiongoza maaandamano Kuelekea Himo kwenye Uzinduzi wa Operesheni Pamoja Daima Jana
Mamia ya wafuasi na wapenzi wa Chadema wakimsikiliza mbunge wa Moshi Mjini -Chadema Ndesamburo wakati wa uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana
Mbunge wa moshi mjini -Chadema Ndesamburo akihutubia mamia ya wafuasi na wapenzi wa Chadema kwenye uzinduzi wa operesheni pamoja daima jana Kibororoni
Mbunge wa singida magharibi tundu lissu akihutubia wanachama muheza tanga
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbroad Slaa Akihutubia wakazi wa Kyela, Mbeya katika ziara zinazoendelea za Operesheni Pamoja Daima jana
Mbunge wa Iringa Mjini Mh Peter Msigwa akihutubia wakazi wa Kyela Mbeya jana
Katibu Mkuu wa Chadsema Dr Wilbrod Slaa akimnadi Mgombea wa Udiwani jana
Sehemu ya Umati Mkubwa Uliyojitokeza jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa wakati anaagana na wakazi wa Mbambabay ambao walifurika kwa wingi kwenye Uzinduzi wa operesheni Pamoja Daima, Kulia kwa Katibu Mkuu ni Mbunge wa iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa. Picha na Chadema
No comments:
Post a Comment