Thursday, January 23, 2014

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kutoa ufafanuzi kuhusu mawaziri walioshindwa kutekeleza majukumu yao lakini hawajaguswa

Katibu wa Itikadi na Uenezi waCchama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye  
----
 Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema leo kitatoa ufafanuzi kuhusu mawaziri walioshindwa kutekeleza majukumu yao lakini hawajaguswa, licha ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kuwatosa mawaziri watano.

Katika mabadiliko hayo, Rais aliwateua mawaziri wapya 10 na kuwapandisha manaibu wanne kuwa mawaziri kamili.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye, aliliambia gazeti hili jana kuwa kumekuwa na kauli tata zinazotolewa na watu wa kada mbalimbali kuhusu kubaki kwa mawaziri hao.Kwa habari zaidi Bofya na Endelea......

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...