ALIYEKUWA Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa timu hiyo akichukua nafasi ya Evodius Mtawala aliyeajiriwa TFF akiwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanachama na Sheria.
Simba imemteua pia Mwandishi Mkongwe wa habari za michezo, Asha Muhaji kuwa Ofisa Habari mpya wa klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment