Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia wakati mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati ulipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5,2014 kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Desemba 6, 2014 kijijini Magunga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Jane Kakingo Mgimwa, mjane wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya mwili wa marehemu kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Nduli Iringa Desemba 5, 2014 kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika kijijini Magunga Desemba 6, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwafariji wanafamilia wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiji cha Magungua, Iringa kuwapa pole na kukagua maandalizi ya mazishi Desemba 5, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Jane Katingo, Mama Mzazi wa Aliekuwa Waziri wa Fedha, Dr. William Mgimwa wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu huyo katika kijiji cha Magunga, Iringa kutoa pole na kuangalia maandalizi a mazishi Januari 5, 2014
Waziri mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na jamaa wa karibu wa aliyekuwa waziri wa Fedha, Dr. WilliamMgimwa baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu katika kijiiji cha Magunga, Iringa kuwapa pole wafiwa na kukagua maadalizi ya mazishi Desemba 5, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment