Familia ya THT ikiwa jukwaani wakati wa kusherehekea miaka 7 toka kuanzishwa.
WASANII wa nyumba ya vipaji,
Tanzania House of Tallent ‘THT’ usiku wa kuamkia leo waliangusha bonge
la pati ndani ya Ukumbi wa Dar live uliopo Mabagala jijini Dar
kusherehekea miaka 7 ya kuanzishwa kundi hilo la kukuza vipaji. Katika
pati hiyo wasanii mbalimbali wa muziki walitoa burudani hasa wasanii
wenyewe wa THT. Pichani juu ni baadhi ya matukio yaliyojili ukumbini
hapo.
Shilole na kundi lake wakilishambulia jukwaa la Dar Live.
Vijana wa THT wakiwasha moto wakati wa sherehe yao ya kutimiza miaka 7 ndani ya Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Msanii Ben Pol akiwajibika stejini.
Shilole akimdatisha shabiki aliyepanda stejini.
Shetta akiwapa raha mashabiki.
Dogo Aslay akiwadatisha mashabiki.
No comments:
Post a Comment