Katika…
Katika
kuonyesha kuwa Dk. John Magufuli na Raila Odinga ni maswahiba kwa
taarifa nilizozinyaka na ni za uhakika ni kuwa, Mh. Raila Odinga yupo
nchini Tanzania kumtembelea rafiki yake kipenzi Mh. Dk. John P. Magufuli
ambapo nimebahatika kupata baadhi ya picha kama mnavyoziona hapo juu.
Na inavyoonyesha ziara hii ni ya kimyakimya. Pichani juu, Raila Odinga
akikaribishwa na mwenyeji wake, Dk Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere Terminal One jijini Dar es Salaam siku mbili
zilizopita.
No comments:
Post a Comment