"...hiki ndicho kinywaji kipya tulichokizindua leo..."
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Tanzania Distilleries Limited (TDL),David Mgwassa akisungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa
kinywaji kipya kinachoitwa ZANZI (kinachoonekana pichani) iliyofanyika
kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar es Salaam leo.
Meneja Masoko wa Kampuni ya
Tanzania Distilleries Limited (TDL),Joseph Chibehe akitoa ufafanuzi wa
Kinywaji hicho kipya aina ya ZANZI ambacho kinapatikana katika ujazo wa
750ml na katika Pakiti zenye ujazo wa 100ml ambacho kitakuwa
kikipatikana nchi nzima.Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
TDL,David Mgwassa na kulia ni Meneja Usafirishaji wa TDL,Bavon Ndumbati.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya
Tanzania Distilleries Limited (TDL),David Mgwassa (katikati),Meneja
Masoko wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited (TDL),Joseph Chibehe
na Meneja Usafirishaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited
(TDL),Bavon Ndumbati wote kwa pamoja wakigonganisha glass kuashiria
uzinduzi rasmi wa kinywaji hicho uliofanyika leo kwenye hoteli ya
Serena,jijini Dar es Salaam.
5 comments:
[url=http://www.microgiving.com/profile/clarithromycin]buy biaxin online no prescription
[/url]
[url=http://sustiva-efavirenz.webs.com/]buy Generic Sustiva 500 mg online
[/url] purchase Sustiva 200 mg online
Efavirenz online
Efavirenz 500 mg
[url=http://rebetol-online.webs.com/]copegus buy online
[/url] rebetol buy
rebetol 100 mg online
order rebetol
[url=http://www.microgiving.com/profile/ribavirin]buy ribavirin
[/url] virazole 200 mg online
ribavirin 200 mg online
copegus buy
[url=http://buy-methylprednisolone.webspawner.com/]reviews of medrol
[/url] methylprednisolone make you sleepy
medrol methylprednisolone tablets
can i take methylprednisolone with food
Post a Comment