Friday, December 21, 2012

Rais Kikwete akabidhiwa Hati ya Bima yake ya Maisha


Pichani Juu na Chini Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya   Shirika la Bima la Taifa toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake  Bw. Justine Mwandu Ikulu jijini Dar es salaam. Shirika hilo ambalo limefufuka upya na linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiushukuru uongozi wa  Shirika la Bima la Taifa baada ya kupokea hati ya bima yake ya maisha  Ikulu jijini Dar es salaam.(Picha na IKULU).

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...