Tuesday, December 11, 2012

MISS TANZANIA 2012 AKABIDHIWA GARI LAKE

 
Brigitte Alfred Redds Miss Tanzania 2012 akiangalia faili lenye nyaraka muhimu za zawadi yake ya Gari baada ya kukabidhiwa  zawadi ya gari yake leo hii tarehe 10 Desemba 2012 na Katibu Mkuu wa Kamati ya Miss Tanzania, Bw. Bosco Majaliwa.  katika ofisi ya Lino International Agency Limited zilizopo Mikocheni jijini D’salaam.
 
Gari la Miss Tanzania aina ya Noah
 
Redds Miss Tanzania 2012 akifurahia zawadi yake ya gari mara baada ya kukabidhiwa katika ofisi za Lino International Agency Mikocheni  jijini leo.

1 comment:

Unknown said...

a typical Tanzanian Company... poor publicity!! Inabidi wakuajiri Mzee ili wafahamu umuhimu wa tukio kama hilo..

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...