Bi. Kidude akiveshwa nishani na Rais Jakaya Kikwete Ikulu
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete mchana ametunuku nishani
kwa watu kutoka makundi mbalimbali yajamii waliotumikia taifa kwa
uadilifu na kutoa mchango wa pekee.Miongoni wa waliotunukiwa nishani
ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mstaafu wa
Mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo pamoja na Msanii Mkongwe Bi.Fatma Baraka
Khamis (Bi.Kidude). Wengine waliotunikiwa nishani ni pamoja na Watumishi
wa umma na askari Jeshi na Polisi.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akivishwa nishani
Rais jakaya Kikwete akimvisha nishani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ikulu Jijini Dar es
1 comment:
Twawapa hongera sana
Post a Comment