Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima,
Shaban Matutu akiongea na waandishi wa habari na wadau mbalimbali
waliofika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya
kutolewa risasi kifuani aliyopigwa na Polisi nyumbani kwake Tegeta.
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima,
Shaban Matutu akionyesha sehemu aliyojeruhiwa na risasi baada ya
kujuliwa hali na na waandishi wa habarikatika Hospitali ya Taifa
Muhimbili jijini Dar es Salaam baada ya
kutolewa risasi kifuani aliyopigwa na Polisi nyumbani kwake Tegeta.
Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima,
Shaban Matutu akisalimiwa na wadau na waandishi mbalimbali waliofika
kumjulia hali akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es
Salaam baada ya
kutolewa risasi kifuani aliyopigwa na Polisi nyumbani kwake Tegeta.Picha
na Dande Francis
1 comment:
[url=http://www.49ersonlineofficialstore.com/carlos_rogers_jersey_super_bowl]Carlos Rogers Jersey[/url] emurbursofs
[url=http://www.49ersonlineofficialstore.com/mike_iupati_jersey_super_bowl]Mike Iupati Jersey[/url] TynckeyncBype
[url=http://www.footballravensprostore.com/dennis_pitta_jersey_super_bowl]Dennis Pitta Jersey[/url] Proonseorek
Post a Comment