Bw.
Juma Pinto Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept (T) Limited
kushoto akiwa pamoja na Lightness Sirikwa Meneja Matangazo na na Mhariri
Mkuu Yakobe Chiwambo wakionyesha gazeti jipya la matangazo la Dar Metro
lililozinduliwa jana katika mgahawa wa City Sports Lounge Posta jijini
Dar es salaam jioni ya jana, ambapo wadau kutoka makampuni mbalimbali
yanayojihuzisha na biashara ya matangazo wamehudhuria katika hafla hiyo,
gazeti hilo litagawiwa bure katika maeneo mbalimbali ya kibiashara
jijini Dar es salaam na mikoani hapa nchini
Bw.
Juma Pinto Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept (T) Limited
akizungumza na wageni waalikwa wakati alipozindua rasmi gazeti la
matangazo linaloitwa Dar Metro kwenye mgahawa wa City Sports Posta
jijini Dar es salaam, katikati ni Peter Ambilikile Mwandishi mwandamizi
wa gazeti la Dar Metro na kulia ni Lightness Sirikwa Meneja Matangazo
wa gazeti la Dar metro
Meneja Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts (T) Limited Mzee Ramadhan Kibanike akizungumza katika uzinduzi huo
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Jambo Concepts na wadau mbalimbali wakiwa katika hafla
hiyo iliyofanyika kwenye mgahawa wa City Sports Lounge jijini Dar es
salaam.
No comments:
Post a Comment