Monday, March 02, 2009

Waziri Membe atimua mbio


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia) akishiriki mbio za Km 5 za Vodacom katika mashindano ya mbio ya Kimataifa ya Kilimajaro Marathon, mjini Moshi jana. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Efraem Mafuru, Meneja wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kaskazini Mashariki, James Bokela, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera na Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Soka wa zamani, (SIPUTANZA), Venance Mwamoto.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...