Friday, March 13, 2009

katuni ya GAdo


Huyu jamaa wa Uganda anataka kujiingiza kuwa Rais wa Afrika Mashariki, jamani hivi kwa mwendo huu kweli tutafika si atachomeka mpaka house girl wake awe waziri sasa hebu cheki hawa jamaa wa Nation wamechora kafamilia ka huyui mheshimiwa M7 upendeleo kwa familia na marafiki wa kiongozi)wa hali ya juu! Katuni imechorwa na GADO.

No comments:

🔴🔴HIFADHI YA MPANGA-KIPENGERE YAENDELEA KUWA LULU YA VIZAZI VIJAVYO

  📍Wanafunzi wa Nyanda za Juu Kusini Wapiga Kambi Kujifunza na Kutali  Na Beatus Maganja, Njombe. Wahenga walioshiba tunu za uhifadhi na ut...