Monday, March 30, 2009

Vodacom regatta mbio za mashua








Washiriki wa mashindano ya mbio za mashua za Vodacom Regatta wakishiriki mbio hizo katika bahari ya Hindi, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. (Na Mpigapicha wetu).

No comments:

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Rugambwa wapokelewa Bukoba

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, aliyefariki hivi karibuni, uliwasili leo katika Kanisa Kuu la Bikira Maria wa Huruma, Jimbo Ka...