Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akisikiliza na kujibu kero mbalimbali za wananchi wa soko la Temeke Sterio jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na wananchi kwenye Viwanja vya shule ya sekondari Tilav, eneo la Lumo.
Wananchi wa eneo la Lumo wakimsikiliza Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akisikiliza kero zao.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akisalimiana na Mkuu wa Gereza la Keko Acp Kiangi wakati alipotembelea katika Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya siku kumi inayoendelea jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akifuatana na Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva alipotembelea Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ikiwa ni sehemu ya Ziara yake ya siku kumi inayoendelea jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva wakati akielezea maswala ya ulinzi na usalama katika Wilaya hiyo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akizungumza na watendaji kata pamoja na Madiwani.
Watendaji kata pamoja na Madiwani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akisikiliza kero za wananchi eneo la Keko Furniture jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake ya siku kumi.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda akiwasili na viongozi wa Wilaya ya Temeke katika soko la Temeke Sterio kwaajili ya kusikiliza kero za wananchi na wafanyabiashara wa soko hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda na viongozi wengine wakikagua usafi wa soko hilo.
No comments:
Post a Comment