Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akisalimiana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wakwanza kulia ni Bw. Blevin Claude Afisa wa Ubalozi huo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak wakati akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiagana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak mara baada ya kuzugumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment