Tuesday, November 08, 2016

RAIS MAGUFULI AKUTANA NA JENERALI GEORGE MARWA WAITARA NA MKUU WA JESHI AL KUJENGA TAIFA JKT, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Waitara: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANAPA ambaye pia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George MARWA Waitara alipokutana naye kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Novemba 8, 2016. (PICHA NA IKULU)



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana naMkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Brigedia Jenerali Michael Isamuhyo alipokutana naye kwa mazungumzoIkulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Novemba 8, 2016

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...