Thursday, September 05, 2013

Mwanamke ambaye ni raia wa Nigeria,alivyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na kete 99 za dawa za kulevya


 ANTHONIA OJO AKIELEKEA KWENYE GARI BAADA YA KUKAMATWA

 ANTHONIA OJO AKIWASILI KITUO CHA POLISI CHA JNIA BAADA KUKAMATWA.
 HILO NDO BEGI MADAWA HAYO YALIKUWEMO
PASPOTI YAKE
MADAWA HAYO YAKIRUDISHWA KWENYE VYOMBO BAADA YA KUONESHWA KWA WANAHABARI.
 AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO
 RECORD ZA ANTHONIA ALIWAHI KUJA TENA MWAKA 2011
 AKIZITOA KWENYE MIKEBE YA POWDER NA SHAMPOO
 HUYO NDO ANTHONIA OJO AKIWA KITUO CHA POLISI
SEHEMU YA KETE 99 ALIZOKAMATWA NAZO.
----
Mwanamke ambaye ni raia wa Nigeria, amekamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), akiwa na kete 99 za dawa za kulevya.Hata hivyo kete hizo hazikujulikana ni za aina gani.

 
Kukamatwa kwa raia huyo, kumekuja wiki tatu tangu Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, kutangaza vita dhidi ya watu wanaopitisha dawa za kulevya katika idara na taasisi zilizoko chini ya wizara yake.Akizungumza na Mwananchi jana, Meneja Usalama wa uwanja huo, Clemence Jingu, alisema mtuhumiwa alikamatwa jana saa 8:00 mchana.Kwa Habari Zaidi Bofya na Endelea.......>>>

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...