Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua magadi kwenye ziwa Natron akiwa katika ziara ya Wilaya ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Mtowa Mbu akitoka Loliondo Septemba 24, 2013. Wapili kulia ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia Mkutano wa hadhara katika kijijicha Digodigo wilayani Ngorongoro Septemba 24, 2013. Kulia ni Mkewe Tunu na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mulugo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na wacheza ngoma wa kabila la Wasonje kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika kijiji cha Digodigo wilayani Ngorongoro Septemba 24, 2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment