Bandari ya Zanzibar
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu ya UVCCM ambao wamechanganyika na abiria wengine, wakiwa kwenye gati baada ya kushuka katika boti juzi jion
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza hilo kilichofanyika jana, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui
Baadhi yao wakisubiriana kabla ya kupanda mabasi maalum yaliyoletwa bandarini kuwabeba
Wajumbe wakiwa katika mabasi
Wajumbe wakiwasili Afisi Kuu ya UVCCM Zanzibar
Baada ya wajumbe hao kushuka
Kikundi cga Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa Jana .Imetayarishwa na theNkoromo Blog
No comments:
Post a Comment