Saturday, September 28, 2013

JWTZ Septemba 27, 2013 limewaaga Majenerali 7 baada ya kulitumikia jeshi hilo na kustaafu kwa heshima.

 JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA 
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Septemba 27, 2013 limewaaga Majenerali 7 baada ya kulitumikia jeshi hilo na kustaafu kwa heshima.

Sherehe hizo zilifanyika katika viwanja vya Abdalah Twalipo Mgulani Dsm ambapo Majenerali walioagwa ni

Luteni Jenerali Silvester Rioba
Meja Jenerali Farah  Mohamed
Meja Jenerali Grace Mwakipunda
Meja Jenerali P Mlowezi
Brigedia Jenerali Stephen Ndazi
Brigedia Jenerali Chando
Brigedia Jenerali Matiku 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...